Salama Wakuu?
Watu walitabiri na kutabiri mara Kikeke anaenda TBC, mara anaenda Wasafi, mara atalamba teuzi za Rais Samia akaungane na Zuhura, sasa kutabiri kumeisha, Kikeke huyooo kwa CROWN...
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza...
Msichojua ndo hicho sasa
Unamuona mwanaume unamtani na kuvutiwa nae ila sasa ndo inabidi ungalie mambo mengine sasa yanayofanya jambo ilo lishindikane
Nimekutana na mkaka maeneo ya ninayofanyia...
Ukristo unanishinda sababu upo very strictly kwenye mambo ya Mahusiano au wanawake. kwenye uislamu ni raha sana. unaweza wachakata mademu utakavyo. na bado ukienda Mbinguni unaenda tena kukutana...
Kila nikitafakari naona wazee wa Kataa ndoa wapo sahihi hasa baada ya kusoma kitabu kiitwacho '
The Manipulated Man
by Esther Vilar (1971)'
Muandishi wa kitabu hicho ni mwanamke ambaye kwa kifupi...
Wakuu habarini za asubuhi.
Kama kijielezavyo kichwa cha habari hapo juu, hekima zenu zinahitajika kutoa ushauri juu ya jambo naloenda lielezea hapa chini.
Mathalan una mchumba na umekwishamtolea...
heyyyy
sawa wanasimba tumekubali benchika kwenda kumuuguza mkewe,
swali lilipo je wasaidizi wake pia wameenda kumuuguza shemeji yake??
tunachanganyikiwa shagala bagala
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.