Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yan hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hivi ni haki kulala na wazazi mama yake anangangana kuwa ni kawaida.
Ana chumba chake kizuri na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama.
Mnaonaje wakuu...
Wataalamu wa sheria jamaa yangu amedharilishwa Kwa kutukanwa na kuambiwa kuwa ameua mtu Ambae alikufa mwaka Jana Kwa ajali ya kugongwa na gari. Je, anatakiwa afanye nini ili ashtaki ili...
Wiki hii tumejionea baadhi ya wanavyuo wakijaribu kukusanyika kuwaatetea Hamas (ni wanafunzi hao hao wengi walikuwa na furaha siku ya October 7 Hamas walipoivamia Israel).
Maafisa wa polisi...
Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana
Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.