Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu habari! Nina tajiri wangu kutoka kenya ambae kuna ishu tu naifanya kimya kimya sasa ni wa kishua kanipa kazi nimtafutie eneo aidha kununua ghorofa la kukarabati au kununua nyumba mbovu...
1 Reactions
1 Replies
15 Views
Naandika ujumbe huu kwa masikito makubwa juu ya Kauli zako ulizozitoa kwenye mkutano wa ndani wa viongozi wa CCM pale Tarafani Kanadi Wilaya ya Itilima siku ya Tarehe 25.4.2024 kuhusu Luhaga...
1 Reactions
3 Replies
224 Views
Umuofia kwenu, kwa takribani miezi minne sasa nilishuhudia mbegu mpya kabisa ya panya nyumbani kwangu. Panya hao wana muonekano tofauti na hawa wetu na cha ajabu kabisa wanawawinda panya wale wa...
2 Reactions
9 Replies
76 Views
Hello everyone, I'm reaching out for advice and perspective on a challenging situation I've found myself in. My name is David, and for almost three years, I've been in a relationship with Sarah...
2 Reactions
65 Replies
556 Views
Mnamo tarehe 8/04/2024 Majira ya saa 2 Usiku katika Kata ya Iyela Wilaya ya Mbeya Mjini inasadikika Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Burgalia anayeitwa Vasil Dosev Dimitrov, alimchukua...
2 Reactions
26 Replies
456 Views
1) Mfalme Nero 2) Mfalme Nebuchadnezzar 3) Alexander the Great 4) Adolf Hitler
1 Reactions
30 Replies
291 Views
Makocha walioifundisha Klabu ya Simba kuanzia 2018 - 2024 Januari 2018 - Juni 2018 Pierre Lechantre Julai 2018 - Novemba 2019 Patrick Aussems Desemba 2019 - Januari 2021 Sven Vendenbroeck...
1 Reactions
6 Replies
328 Views
Habari wana JF? Battery yangu ya solar imekuwa ikipoteza nguvu ndani ya masaa mawili baada ya kuwa full charged, ni battery ya maji (acid) na pia nimeshawahi kuiongezea maji(acid) mara mbili kwa...
2 Reactions
125 Replies
43K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Msichojua ndo hicho sasa Unamuona mwanaume unamtani na kuvutiwa nae ila sasa ndo inabidi ungalie mambo mengine sasa yanayofanya jambo ilo lishindikane Nimekutana na mkaka maeneo ya ninayofanyia...
19 Reactions
77 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,541
Posts
49,522,299
Members
667,165
Latest member
REBAMS
Back
Top Bottom