Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Nawauliza kwa wema tu nyie wanaume wenzangu. Huo ujassiri wa kuoa mke mwenye mshahara mnautoa wapi? Sababu zenu ni dhaifu eti maisha kusaididiana, au ukifa watoto wasiyumbe. Ahahahah Nyie si ndio...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kumekuwa na picha zinazoenea kwenye mitandao zikimuonyesha rais samia akiwa katika ibada kanisani,sina uhakika ikiwa ni ibada ya pasaka au otherwise lakini kinachoonekana ni kwamba amekwenda na...
10 Reactions
84 Replies
2K Views
Mwenye masters asie na watu wa karibu (hasa ndugu) wa kumpa uzoefu na connections chuoni kapewa assignments, test, presentation kibao lakini anamaliza chuo hana hata Tin Namba Hajui kutumia...
1 Reactions
10 Replies
105 Views
Nimepita stand ya Nanenane Dodoma leo, kuna kitu sijakielewa. 1. ukiingia na gari, wanakulipisha ushuru wa kuingia na gari. na wanakupa tiket. 2. ukipaki gari, unapoingia kwa abiria unalipishwa...
1 Reactions
15 Replies
179 Views
Nahitaji simu ya kawaida kabisa bajeti yangu laki na 30. Kikubwa iwe ina uwezo wa kutoa audio inayo sikika vizuri. Iwe Type C ambayo inaweza kutumia vile vi microphone vya sh elfu 25. Nakumbuka...
1 Reactions
42 Replies
391 Views
Anajijua yeye ni mchepuko jana kanifumania na mwanamke mwengine akaniletea vurugu! Akaniita mimi mwanaume malaya haikutosha akaniita mimi "kenge maji!" kitu hichi kiliniuma sana nikamvuta...
14 Reactions
48 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kushirikiana na Familia yake wamechangia kiasi cha Millioni 100 yaani mia moja ,ujenzi...
7 Reactions
90 Replies
2K Views
1. Hakuna Msaniii yoyote mkubwa wa Congo DR kuanzia kwa JB Mpiana, Koffi Olomide, Werrason, Felix Wazekwa, Roga Roga na Bendi yake ya Extra Musica, Fally Ipupa na Ferre Gola utamuita aje nchini...
20 Reactions
53 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,377
Posts
49,517,549
Members
667,092
Latest member
Kevin bravo
Back
Top Bottom