Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
65 Reactions
296 Replies
7K Views
Shalom, Kama mdau wenu mimi Wadiz naandika yafuatayo katika Hali ambayo naamini ndiyo ipasayo katika hoja mbalimbali zenye mashiko na kulinda uhalali wa baadhi ya wenye kukataa kuoa. Na katika...
3 Reactions
16 Replies
48 Views
Hivi vile vitambulisho vya wauza madafu (wajasiriamali) viliishiaga wapi? eti TSH 20,000/=?
2 Reactions
24 Replies
352 Views
Hakyanani Mtani wangu wa Kiha ( Mkoani Kigoma ) Kocha Msaidizi wa Simba SC nimekuvulia Kofia Muha Wewe.
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Wiki hii tumejionea baadhi ya wanavyuo wakijaribu kukusanyika kuwaatetea Hamas (ni wanafunzi hao hao wengi walikuwa na furaha siku ya October 7 Hamas walipoivamia Israel). Maafisa wa polisi...
6 Reactions
56 Replies
763 Views
Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hivi ni haki kulala na wazazi mama yake anangangana kuwa ni kawaida. Ana chumba chake kizuri na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama. Mnaonaje wakuu...
11 Reactions
59 Replies
2K Views
Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yaani hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi...
7 Reactions
73 Replies
953 Views
Siku zote, wenzetu wanakula, na wakila, wanakula vyakula ambavyo vinajenga miili yao. Zamani chakula kama hiki hakikuwepo Tanzania, lakini siku hizi vipo vingi tu. Tembelea supamaketi ukakutane...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Yanga walipopata barua toka kwa FIFA, CAF na TFF Pacome akapata injury, TFF imeficha jina la mchezaji aliyechezeshwa na Yanga wakati usajili wake wa utata. Wameamua wasimchezeshe kabisa, sheria...
1 Reactions
16 Replies
664 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,399
Posts
49,518,191
Members
667,103
Latest member
nicolaus9991
Back
Top Bottom