Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Khanga Kubwa za Zanzibar zinapatikana kwa sh 20,000 bei ya rejareja. Bei ya jumla sh 19,000 kuanzia 3. Tunapatikana tabata kinyerezi dar es salaam. Biashara ni ya Mtandaoni, Ukihitaji tunafanya...
1 Reactions
2 Replies
10 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametaka kufikishwa mahakamani haraka kwa watumishi wanaodaiwa kuhusika na upotevu wa shilingi Milioni 428 ambazo ni fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya...
13 Reactions
48 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Wasalaam CHAMA kipo madarakani zaidi ya miaka 60 lakini, 1. Barabara mbovu 2. Maji Safi na salama ni shida 3. Elimu mbovu 4. Afya duni 5. Lishe duni 6. Viongozi kuishi kwa anasa 7. Umasikini...
1 Reactions
10 Replies
112 Views
Kabla sijakuandikia stori ya huyu mwamba wa Babeli katika nchi ya Babiloni, ngoja nijaribu na mimi kujiuliza maswali kadhaa. Watu wanasema wale Waisrael wa zamani sio wa sasa hivi, hao wa zamani...
6 Reactions
29 Replies
481 Views
Salaam, Shalom! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
22 Reactions
185 Replies
3K Views
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza...
13 Reactions
139 Replies
1K Views
Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna...
16 Reactions
96 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,498
Posts
49,521,116
Members
667,131
Latest member
niite_carlos
Back
Top Bottom