Hakuna salamu hapa, kwanza Sio chakula au mtaji wa kufungulia biashara!
Ni hivi kama kichwa kinavyojieleza hapo,
Hivi sisi watu weusi tuna shida gani aisee?
Kila alipo mtu mweusi katika Dunia...
MWENYEKITI WA UVCCM MKOA KAGERA UNAUDHALILISHA MKOA SASA NI WAKATI WA KUJIUZURU MARA MOJA.
BUKOBA KAGERA.
Mkoa wa Kagera Jumuiya ya Mkoa wa Vijana (UVCCM) ilipata mwenyekiti mpya ambaye...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mwanamke huyu gander man ni mojawapo fursa kwake
Akimpa mwanaume namba yake tu basi fursa imeanza tofauti ya muda wa kutumia fursa ndio upo mfani mwingine akitoa namba ataanza palepqle kuomba...
Mimi naishi mkoani ni changamoto sana kupata developer sasa nilikuwa na kazi yangu nataka developer aifanye nimekutana na madogo kama watano hapa wamesomea kozi hiyo ya IT Kuna kazi nilikuwa...
Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana
Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama...
Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto!
Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama .
Christina...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Habarini za muda wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Ninahitaji kuzalisha fedha kuanzia millioni moja na kuendelea kwa siku ya Kuanzia leo mpaka Jumamosi. Ili niweze kutatua tahadhari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.