Wakati sherehe za ubingwa WA bonanza wa MUUNGANO zinaendelea faham kwamba Simba siyo Tena Klabu ya Tano Africa wako NAFASI ya saba, baada ya Zamalek na Rs Berkane kufuzu fainali wanakuwa juu ya...
Kumekuwa na mjadala mkubwa kama yule ni mimi au sio Mimi.
Nimekuja mbele Yenu wa JF ili nijibu hoja na maswali yenu. Ila yule sio mimi.
Karibuni kwa maswali.
Kila nikitafakari naona wazee wa Kataa ndoa wapo sahihi hasa baada ya kusoma kitabu kiitwacho '
The Manipulated Man
by Esther Vilar (1971)'
Muandishi wa kitabu hicho ni mwanamke ambaye kwa kifupi...
Nahitaji simu ya kawaida kabisa bajeti yangu laki na 30. Kikubwa iwe una uwezo wa kutoa audio inayo sikika vizuri. Iwe Type C ambayo inaweza kutumia vile vi microphone vya sh elfu 25.
Nakumbuka...
Na mbaya zaidi vyuo vyetu ni theory tu hakuna vitendo, mwendo wa kumeza ma definition na kupimwa uwezo kwenye karatasi na hatimae kupewa cheti.
Mtu anamaliza masters ya business administration...
"SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA"
Leo nimekumbuka mwaka 2020 kipindi cha Pasaka,Jijini Arusha,hapo dili la ku-design michoro ya Majengo kadhaa ya Taasisi ya Kanisa limetiki na nka kabidhiwa pesa ya...
Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER..
Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka.
Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi...
1. Hakuna Msaniii yoyote mkubwa wa Congo DR kuanzia kwa JB Mpiana, Koffi Olomide, Werrason, Felix Wazekwa, Roga Roga na Bendi yake ya Extra Musica, Fally Ipupa na Ferre Gola utamuita aje nchini...
Kengold kutoka Mbeya imetwaa Ubingwa wa Championship
Hatimaye baada ya miaka 23 timu ya Pamba Jiji FC ya Mwanza imefanikiwa kupanda ligi kuu
Bishara United Mara na Mbeya Kwanza watasubiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.