Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

  • Poll
Jf amani iwe nanyi. Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oct 2030, 77% ya wapigakura wote watakuwa ni Vijana wa 2000s` Mrithi sahihi wa Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya CCM lazima awe ni mgombea...
4 Reactions
223 Replies
5K Views
Salaam, Shalom!! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
18 Reactions
146 Replies
2K Views
Huwa nawaza hawa watumishi wa umma wanapatikanaje aisee ukienda ofisi za umma licha ya kuwa na majibu ya hovyo bado unakuta mtu amevaa sijui nini msabato siyo msabato tabu tupu angalia mabenki ya...
0 Reactions
9 Replies
192 Views
Anaupiga mwingiiiii,,,,,,,,,,,kusifia kumekuwa jambo la kipaumbele zaidi licha ya wananchi majimboni hawaogi wiki nzima kwa kukosa maji bombani hakuna mijadala ya kuwaweka kitimoto wapigaji, hata...
1 Reactions
9 Replies
100 Views
Self esteem ni vile jinsi unavyojikubali kwa mtazamo wako, watu wengi hujikubali kwa maarifa waliyonayo, elimu, vipato, n.k. Kwa wenzetu nchi zilizoendelea mtu anajikubali zaidi na kuona...
3 Reactions
6 Replies
147 Views
Kwanini watumiaji wengi wa kinywaji cha Energy ni madereva wa vyombo vya moto?
1 Reactions
13 Replies
288 Views
Habari za muda huu wapendwa. Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde. Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako. Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka...
27 Reactions
111 Replies
3K Views
Wengi wetu tunakaribia kusherekea sikukuu za Pasaka na Eid el Fitr. Mimi binafsi nitaenda kufurahia sikuukuu yangu katika hiyo Coco Beach Je, nawe utaenda wapi?
5 Reactions
55 Replies
837 Views
Askari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na...
92 Reactions
295 Replies
18K Views
Habari jf. Kwa wenye uzoefu wa hili jambo naomba mnisaidie ni ishara ya nini? Siku tatu nyuma nilienda kijijini kwetu kusalimia,sasa kama mjuavyo ndugu kijijini huwa ni wengi na ukifika huko basi...
0 Reactions
0 Replies
24 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,131
Posts
49,509,150
Members
666,981
Latest member
nyamwitanga
Back
Top Bottom