Habari wana Jf tupeane pole juu ya Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Nchini.
Juzi kati nilipata msala mdogo amabao ulinipelekea kuwekwa Selo pale kituo cha polisi msimbazi.
Baada ya kusolve na...
Kumetokea tabia ya baadhi ya viongozi na wanasiasa kudai hasara au matatizo ya Tanzania ya Mosi kuhamia Dodoma kuliko fanywa na JPM, ni kukosa ueledi wa uongozi, bila kujua Mpango wa Nchi...
Nimemsikia mtangazaji wa Upendo TV akiripoti kutokea Cathedral ya Azania Front akisema hapo ndipo alipokuwa anasali Dr. Karl Peters.
Na nimesoma kwenye gazeti fulani kuwa Karl Peters aliruhusiwa...
Leo kwenye harakati zangu za maisha nilipita maeneo ya KILUVYA, Kwa nilivyokua nadhani KILUVYA ipo wilaya ya ubungo, baada ya kubishana na jamaa yangu kua KILUVYA sio dar nikaenda kwenye ramani...
Salaam, Shalom!!!
Naamini Kila mtu anajua ya kuwa, chakula ni muhimu Kwa ajili ya AFYA ya MWILI, lakini pia, matabibu wamethibitisha kuwa chakula pia ni chanzo Cha magonjwa mengi tu yanayosumbua...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.