Waliosoma Cyber watueleze ili na wanasheria.Mfano nina kitecno changu nimesambaza taarifa kimakosa au sio makosa inakuwaje waende nyumbani kupekuwa wakati kilicho fanya kosa au si kosa ni simu na...
Anasema kocha wa BAYERN MUNICH, Thomas Tuchel
"Nmeiangalia Real. Madrid na wachambuz wangu. Ukiyachunguza sana magoli Yao au nafasi zao, na ukarejesha sekunde 10 nyuma, Huwezi kuona Kama wanakuja...
NILIEMDHANIA NI KAHABA KUMBE BIKRA
MTUNZI:SINGANOJR .
AGE:18+
NB:SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA
PDF KUTOKA SEHEMU YA KWANZA MPAKA YA 390 IPIO NITAFUTE WATSAPP 0687151346
PROLOGUE../DIBAJI...
Wakuu mimi nikijana mdog tu sana hata 22 sijafika najitegemea ila nimepatwa na hili janga choo nakiona kuzimu kila nikibanwa na gogo natamani nijifiche
Kwanza mimi sio mlaji sana haswa...
Kuna kiwanda kiko Pale Keko karibu na ukumbi wa DDC nadhani ni cha cello. Malipo kwa siku ni sh. 3500 kwa siku ilikuwa kwa muda mrefu. Sasa ni sh. 4000, kazi masaa 12 yaani lisaa limoja sh. Mia...
Kwa wote wenye kupenda kutalii na kufurahia Uzuri wa asili na kujengwa katika mandhari ya Miji na Majiji...msiende mbali, msiumize kichwa kwani "Dar es Salaam" imesheeni sehemu lukuki ambazo...
Amani ya Mungu iwe juu yenu
Najua hapa kuna waelewa wa mambo mengi katika biashara hivyo naomba kujua mambo yanayotakiwa ili kuanzisha ofisi ya betting.
Miongoni mwa mambo ninayotaka kujua ni...
Kama ni kweli kocha Benchika anaondoka mwisho wa msimu, hakuna haja tena ya simba kutafuta kocha kutoka mbali au kocha mwenye rangi nyeupe.
Ibenge ni mmoja kati ya makocha wenye CV kubwa barani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.