Wakuu habari,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 sasa, niko chuo X. Naomba niende straight kwenye point wakuu maana nahitaji msaada wa haraka sana. Nimetokea kumpenda binti flani ambaye niko...
Vijana wa mjini Arusha wajulikanao kama Wadudu wamemuhakikishia mkuu wa mkoa huo mh Paul Makonda kwamba Wataujaza uwanja Siku ya Mei Mosi na Wanahamasisha Wana Arusha wote wawepo Uwanjani
Makonda...
Hbr za mchana wana jukwaa wenzangu??.Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vizuri.Km kichwa kinavyojieleza naomba nitiririke km ifuatavyo;
1. UCHAFU: Hapa nazungumzia uchafu wa kuanzia yeye...
Kama kawaida yetu wanaume!
Kuna muda nilisema nimestaafu lakin mmm hakuna kustaafu
Unakutana Na mtoto hadi unachanganyikiwa ,
Mwezi wa 2 nikiwa hapa jijini changi nikapita Hotel inaitwa Indulge...
1. Ni Joe Biden Marekani, au Bibi Israel? Kumbe wapi kuna kalika?
2. Kwamba wao ni kama kwetu na Muroto hawa ndugu wakimnyooshea vidole jiwe, dhidi ya migomo na maandamano; kumbe na wao, ni...
Hilo limethibitishwa nchini Ukraini katika uwanja wa vita ambapo vifaru maarufu vilijulikanavyo kama Leopard (kutoka Ujerumani), Challenger (kutoka Uingereza), pamoja na Abraham's (kutoka...
Hii vita ni kali sana na ilianza tangu wakati wa Nyerere alipotaifisha majumba ya watu wa asili ya watu fulani..Ikaendelea wakati wa Mkapa alipochoma ngano za mfanyabiashara fualani bila vigezo...
Nimeolewa miaka kumi iliyopita na nina watoto watatu.
Tatizo nikiumwa huyu mume wangu hajali, yaani hata kukuulza unaendeleaje akuulizi, mwaka jana nilijifungua kwa operationi alikaa wiki moja...
Habari wakuu,
Nina mpenzi wangu ambaye nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda mrefu sasa, hapo nyuma kidogo tulitofautiana kauli, na alichukizwa saana na maneno niliyomwambia, basi zimepita kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.