Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuelekea siku ya wafanyakazi nchini Mei mosi, vijana ambao wanahitimu elimu ya vyuo vikuu tunaomba Serikali yetu chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia na timu yake yote tunamuomba jambo moja nalo...
7 Reactions
46 Replies
363 Views
Habari wana Jf wenzangu Nimeokota mahala sasa sijui ni nini wanaojua msaada tujuzane
8 Reactions
64 Replies
909 Views
Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu?? Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana...
65 Reactions
710 Replies
65K Views
Wakuu maisha ni kushare love. Nataka niwaambie vijana na watafutaji wengine ikiwemo hata watumishi wa umma wenye mishahara midogo midogo. Hakuna sehem Tanzania hii panafaa Kwa mtu anayejitafuta...
15 Reactions
97 Replies
8K Views
Salaam wadau. Naomba kujuzwa na yeyote kuhusiana na hizi Chipset za MediaTek, haswa ubora wake na kwa nini bidhaa zilizo na Chipset hii zinadharaulika, je ni kweli MediaTek ni hovyo au ni maoni...
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Wana Lamadi na wana Bunda karibuni. Nahitaji Basi ambazo hazipiti njia ya Mwanza bali njia ya Bariadi na Maswa. Nauli bei gani?
1 Reactions
11 Replies
171 Views
Ni Joe Kusaga tena… Waswahili husema mwenye nacho huongezewa, sio sahihi. Mwenye nacho hujiongeza ndipo huongezewa. Mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini aliyejikitika zaidi kwenye tasnia ya...
19 Reactions
108 Replies
2K Views
"SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA" Leo nimekumbuka mwaka 2020 kipindi cha Pasaka,Jijini Arusha,hapo dili la ku-design michoro ya Majengo kadhaa ya Taasisi ya Kanisa limetiki na nka kabidhiwa pesa ya...
0 Reactions
0 Replies
5 Views
Wakristo ni watu wasitarabu na wenye kujali sana, na upendo wao na huruma kwa kila mtu bila kujali dini, ni huruka yao na maisha ya halisi ya kiongozi wao na mwokozi wao Bwana Yesu Kristo Upendo...
0 Reactions
4 Replies
35 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,302
Posts
49,514,774
Members
667,059
Latest member
latifeh6243
Back
Top Bottom