Mmeachana na Benchika nimefurahi sana, ana cv kubwa lakn uwezo wa kawaida tu, hana mbinu wala ufundi zaidi ya dharau, kebehi na kiburi.
Wengi hamjui lkn Benchika ana shida, kiuongozi hayawezi...
Kumekuwa na mjadala mkubwa kama yule ni mimi au sio Mimi.
Nimekuja mbele Yenu wa JF ili nijibu hoja na maswali yenu. Ila yule sio mimi.
Karibuni kwa maswali.
Habari za Leo wajasilia Mali.
Mimi ni mfugaji wa kuwa nyama, hupendelea sana kufuga kuku aina ya sasso Kwa sababu hawashambuliwi sana na magonjwa.
Sasa Leo nilikuwa naomba elimu kwenye nataka...
Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana
Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama...
Watu wengi hudha kuwa kuoga ni takwa la kiafya kumbe sio kweli kuoga kuna madhara mengi kuliko kutokuoga
Utafiti uliofanywa na wanasayansi umethibitisha kuoga mara kwa mara huleta madhara kiafya...
Ni Joe Kusaga tena…
Waswahili husema mwenye nacho huongezewa, sio sahihi. Mwenye nacho hujiongeza ndipo huongezewa.
Mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini aliyejikitika zaidi kwenye tasnia ya...
Rumor has it mzee wa hulisi kamtwanga dada wa bango la valentine talaka moja na mke wa pili juu......
Tatizo sio kuachika, tatizo ni kujishaua sana my husband this my husband that, vikiumana...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Nchini Tanzania, na Afrika kwa ujumla kumekuwa na dhana potofu ya kufikiri kwamba kila mtu mkubwa (kimamlaka) anapokuwa amekufa, basi anakuwa ameuwawa aidha na baadhi...
Pamoja na Tanzania kuwa Miongoni mwa Mataifa machache Duniani yenye Vivutio vingi vya Utalii ila imekuwa Ina struggle sana kupata Watalii.
Just imagine hadi Leo hii tunahangaika kupata Watalii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.