Ipo ivi mm ni mama ninamiaka 29 sasa ..naombeni busara zenu kuishi vipi na uyu mwanaume ..tumezaa watoto wawil apa kati tuliachana lakini nyumbani awakuelewa na hawataki kusikia ilibdi niludi...
Viwango vya uzazi nchini humo (ambavyo tayari ni vya chini kabisa duniani) vimepungua tena, huku kukiwa na hofu ya "kutoweka kwa taifa", wakati ambao Serikali imekuwa ikitumia Mabilioni ya Dola...
Kumekuwa na mjadala mkubwa kama yule ni mimi au sio Mimi.
Nimekuja mbele Yenu wa JF ili nijibu hoja na maswali yenu. Ila yule sio mimi.
Karibuni kwa maswali.
Katika mambo ambayo yamekuwa yakieleweka vibaya, kukanganya na pia kuzua dhihaka kutoka kwa watu wasioipenda Israel ni pamoja na hili la kupewa misaada wa jeshi/ silaha na Marekani pamoja na kuwa...
Unakuta mdada ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya kumi na wote anawahudumia na anawapiga vizinga na wanamuamini hivi mnawezaje?
Unakuta msela anajiaminisha kabisa kuwa fulan ni manzi...
Dk. Mkamilo akizungumza wakati wa kukabidhi Ofisi baada ya kumaliza muda wake kama Mkurugenzi wa TARI hii ilikuwa Februari 20, 2024 baada ya kutoka kwenye tukio hilo akafariki tarehe 2.3.2024...
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model.
NB: Tengeneza future ya wategemezi...
Kwa wale vijana waliozaliwa miaka ya 2000 nawakumbusha tu kuwa Pamba ya Mwanza ambayo kesho inacheza robo fainali na Simba ilikuwa sio ya kawaida.
Golini alikuwa Madata Lubigisa, kulia David...
Wazima jamani!
Hivi hili suala la kuchukiana bila sababu ni kwa wanawake tu ama na Nyie wanaume mnakutana nalo? Unaenda sehemu ukiwasili tu kama wewe ndo jini mkata kamba! Ni kwamba Chuki za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.