Wazima jamani!
Hivi hili suala la kuchukiana bila sababu ni kwa wanawake tu ama na Nyie wanaume mnakutana nalo? Unaenda sehemu ukiwasili tu kama wewe ndo jini mkata kamba! Ni kwamba chuki za...
Anajijua yeye ni mchepuko jana kanifumania na mwanamke mwengine akaniletea vurugu!
Akaniita mimi mwanaume malaya haikutosha akaniita mimi "kenge maji!" kitu hichi kiliniuma sana nikamvuta...
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
Hakuna salamu hapa, kwanza Sio chakula au mtaji wa kufungulia biashara!
Ni hivi kama kichwa kinavyojieleza hapo,
Hivi sisi watu weusi tuna shida gani aisee?
Kila alipo mtu mweusi katika Dunia...
kwanza nichukue fusa hii nikiwa mdau wa ball kupitia jukwaa hili la michezo la jamii forum kuzipongeza timu kutoka championship na kupanda ligi kuu.
KENGOLD FC NA PAMBA FC, Hakika timu hizi...
Tatizo kubwa linaloikabili Ukraine kwa sasa ni kukosekana kwa nguvu kazi ya kuendeleza vita. Hilo linafuatiwa na upungufu mkubwa wa silaha.
Pamoja na kuzuiwa watu wenye umri wa miaka 18-60 kutoka...
Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
The club formed in 1902.
Stadium: Santiago Bernabéu...
hizi ndiyo albam zangu bora kabisa za hiphop zilizofanywa na wasanii wa Tanzania
(1) PROF JAY, albam yake inayoitwa MACHOZI, DAMU NA JASHO hii albamu huwa siichoki kuisikiliza ina kila kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.