Hapa ni baadhi
1. Mbege
2. Dengerua
3. Pingu (Pombe hii mama muuza hakupi hadi ahakikishe kwanza umevaa suruali au pajama ndefu hadi chini kwenye vifundo vya miguu. Hapa mteja lazima ufungwe...
Roku TV, Android TV, Smart TV, AI TV, Google TV, Mini LED TV, QLED TV, na kadhalika ni baadhi ya maneno ya masoko yanayotumiwa na wazalishaji wa TV hivi sasa. Kusema ukweli, ni ngumu kutofautisha...
Mzuka, mashamsham na tamaa vyote viliyeyuka, baada ya kuona makalio yanaondolewa na kitundikwa juu kama inavyoonekana hapa chini.
Nimejiuliza maswali mengi sana. Hivi ananionaje huyu dada mpk...
Wanaume wenye mapenzi ya kweli na wenye kujitambua mara nyingi huwa ni washamba, hawajui kuvaa, wanesoma sana tena kwa shida, wana hofu na Mungu na wanaenda kanisani, ni wapole.
Hawajui Hii...
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.