Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

katika harakati zangu za kisiasa, kura za maoni kivyama huko Jimboni, mara hiyo tupo mjini na, ni wakati wa kulala huko guest house. Sasa miongoni mwa wakuu wa msafara alikuepo mtu mzima, lakini...
14 Reactions
88 Replies
2K Views
Salaam wadau. Naomba kujuzwa na yeyote kuhusiana na hizi Chipset za MediaTek, haswa ubora wake na kwa nini bidhaa zilizo na Chipset hii zinadharaulika, je ni kweli MediaTek ni hovyo au ni maoni...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Nahisi kama Kocha ndio tatizo, huwa hana plan japo ana players. Imepigwa ndani nje Mechi 3 no goal huku timu inawachezaji wa bilioni 10 Kocha afukuzwe na kina Zwane Shilule hawana impact ni...
22 Reactions
119 Replies
3K Views
Naitakia Simba Ushindi. nguvumoja . KIKOSI CHA AZAM KITAKACHOANZA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA HT 0-0
7 Reactions
229 Replies
5K Views
Huu ni mkasa unaoenda mwanzo mpaka mwisho wake. Enjoy. . . . Leon ana talanta ya kupiga picha lakini bado haijamlipa kama vile yeye anavyotamani. Anaamini anastahili kupata zaidi na zaidi na...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Za jion wana jamii, Naimani mko powa wote Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo...
3 Reactions
19 Replies
422 Views
Mzuka, mashamsham na tamaa vyote viliyeyuka, baada ya kuona makalio yanaondolewa na kitundikwa juu kama inavyoonekana hapa chini. Nimejiuliza maswali mengi sana. Hivi ananionaje huyu dada mpk...
5 Reactions
6 Replies
78 Views
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye. Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
7 Reactions
147 Replies
2K Views
Tangazo La muungano lilifanyika usiku wa manane na hakuna mwananchi alishirikishwa na tunachoomba ipitishwe kura ya maoni pande zote nchi ya Tanganyika na Nchi ya Zanzibar wananchi tupige kura ya...
2 Reactions
8 Replies
103 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,099
Posts
49,507,515
Members
666,952
Latest member
Ngitejo
Back
Top Bottom