Kulingana na baadhi ya Watanzania kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Mwanza kipo hakipo Dodoma na kipo Mza hakipo Dom.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu...
TAMISEMI aidha uwe muadilifu wa kiwango cha SGR ili ustaafu salama au uwe na tamaa za kula vizuri, kupata usafiri bora na kupeleka watoto private school ili uishie jela.
TAMISEMI hata ukiiba elfu...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kushirikiana na Familia yake wamechangia kiasi cha Millioni 100 yaani mia moja ,ujenzi...
Ni Joe Kusaga tena…
Waswahili husema mwenye nacho huongezewa, sio sahihi. Mwenye nacho hujiongeza ndipo huongezewa.
Mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini aliyejikitika zaidi kwenye tasnia ya...
Wanabodi,
Loe nchi yetu tumeadhimisha miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muungano wetu ni muungano adimu na muungano adhimu...
Mh Janury Yusuph Makamba nakukumbusha kuwa mwezi March, 28 2021 TPA ilileta Crane yenye uzuto wa Tani 70 ila kwa Bahati mbaya ilitumbukia baharini palepale Bandarini Jijin Dar es salaam, na TPA...
Wakuu habarini za asubuhi.
Kama kijielezavyo kichwa cha habari hapo juu, hekima zenu zinahitajika kutoa ushauri juu ya jambo naloenda lielezea hapa chini.
Mathalan una mchumba na umekwishamtolea...
Hiki kipasso kinaenda km 12 kwa lita ya wese. Kutoka home hadi job ni km 12 yani km 24 kama ni kwenda na kurudi.
kwaiyo nahitaji kama lita mbili hivi kila siku au shilingi 6,514 (3,257×2) kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.