IPTL YATISHIA KUSHTAKI GAZETI LA MWANAHALISI
KAMPUNI ya kufua umeme wa dharula ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) inakusudia kwenda mahakamani kushtaki wamiliki, wahariri na...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kushirikiana na Familia yake wamechangia kiasi cha Millioni 100 yaani mia moja ,ujenzi...
Binadamu tumeumbwa kusahau. Ngoja niwakumbushe mambo mawili matatu ambayo yaliibadilisha Simba kutoka katika mkwamo iliokuwa nao.
1. Tunasahau Simba ilikuwa inacheza hadi dakika ya 60 inakata...
Nimekaa nikatafakari sana miaka sitini ya Muungano eti maonyeshe yetu ni
Komando akiwa amebeba matambara na magunia mazito 😁😁
Komando anabeba sururu ya kufukua mabomo 😁😁
Eti komando anapigana...
Ni mengi yanapita kwenye huu uhusiano, najitahidi kufanya kazi kwa bidii kuimprove standard lakini mwandani wangu ni kama kwake ni tofauti.
Mara nyingi kwenye mikusanyiko ya umma ni kama anaona...
Unapopanda gari la umma kama kiongozi mwenye dhamana jiandae kisaikologia pia kushuka na kuwa RAIA wa kawaida.
Tunategemea kupata mabadiliko makubwa katika nyanja ya kisiasa kuanza mwezi Mei,2024...
Benchikha ni mtu flani anayekasirika haraka na asiyeweza kubeba maumivu, kejeli, dhihaka moyoni mwake.
Ni mtu fulani asiyemvumilivu na mpenda mafanikio kwelikweli, ni wachache tumeweza kumsoma...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.