Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Mbunge asiyepoa wa jimbo la Kisesa wilaya Meatu Mh Mpina akichangia bajeti ya wizara ya Nishati na madini amempongeza Rais Samia kwa kumfukuza waziri January Makamba kwenye wizara hiyo kwani...
23 Reactions
90 Replies
4K Views
Shalom, Kama mdau wenu mimi Wadiz naandika yafuatayo katika Hali ambayo naamini ndiyo ipasayo katika hoja mbalimbali zenye mashiko na kulinda uhalali wa baadhi ya wenye kukataa kuoa. Na katika...
4 Reactions
29 Replies
286 Views
Salaam, Shalom! INTRODUCTON. Mungu ameweka sadaka kuwa kitu kinachoendeleza kipato Cha mtoaji maisha yake yote. (Luke 6:38) Yesu asema, wapeni watu vitu,nanyi mtapewa, kipimo Cha kujaa, na...
11 Reactions
33 Replies
1K Views
Taharuki nchi nzima, watu wanapiga simu kuuliza ndugu zao kama wamepona kutokana na kuanguka kwa ukuta wa gereza. Ila hawa jamaa wa TBC Digital wakazusha taharuki kubwa kuweka picha ya uongo wa...
0 Reactions
3 Replies
32 Views
Mnamo tarehe 8/04/2024 Majira ya saa 2 Usiku katika Kata ya Iyela Wilaya ya Mbeya Mjini inasadikika Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Burgalia anayeitwa Vasil Dosev Dimitrov, alimchukua...
2 Reactions
24 Replies
456 Views
Rapper Kanye West ana mpango wa kujiingiza kwenye biashara ya ndoto zake ambayo ni kurekodi watu wakifanya mapenzi mbele ya camera. Tayari mambo za studio zinaendelea na kwenye hio brand yake...
1 Reactions
14 Replies
319 Views
1) Mfalme Nero 2) Mfalme Nebuchadnezzar 3) Alexander the Great 4) Adolf Hitler
1 Reactions
28 Replies
291 Views
Kama ofisini kwako kuna kiongozi anaanza kazi muda ambao ninyi mnatoka ofisini lazima atakuwa na sifa zifuatazo 1. Ni mzizi na hivyo usubiri watumishi watoke ndipo afanye uzinzi aidha na...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Mtapenda in voice dj afro 🤣🤣
0 Reactions
11 Replies
200 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,541
Posts
49,522,299
Members
667,165
Latest member
REBAMS
Back
Top Bottom