Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Breaking: Benchika ameachana rasmi na Simba SC baada ya makubaliano ya pande zote mbili. Pia soma: Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu ----...
10 Reactions
74 Replies
3K Views
Wewe ni tajiri au masikini? Tuwekee picha tuone maana mmezidi kujitapa nyie matajri.
3 Reactions
24 Replies
246 Views
Kati ya nchi za Maziwa makuu ni rwanda pekee ndo ineruhusu Ushoga?? Je umewasaidia chochote kwene maendeleeo ?? Nani aliwashawishi kuingia kwene huu mtego
0 Reactions
7 Replies
8 Views
" Mods Mnakosea sana. Hamtendei watanzania haki. Tunaomba Msiuondoe Huu Uzi. Ni 100% True. Unless mna ukweli tofauti na huu. Kama ni jukwaa huru basi msiondoe huu ukweli" Dhana iliyozungumziwa...
0 Reactions
6 Replies
7 Views
KISWAHILI ni wazugaji na wafichua habari Ni watu maalum lakini wa kila jinsia umri na kaliba... Kati yao wapo mpaka wezi matapeli, wakabaji na wachawi.. Lakini kila walipo wapo kwa lengo...
138 Reactions
779 Replies
143K Views
SALUTE Maisha ni safari ndefu yenye mabonde na mashimo tu Yenye matumaini tu huku raha zikiwa chache mateso na taabu yamejaa! Kuna mambo yanaweza au yanatokea kwenye maisha yako hadi ukabaki...
492 Reactions
906 Replies
155K Views
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi. Mitungi jamani mitungi jamani...
2 Reactions
6 Replies
7 Views
Kiongozi Mkuu wa ACT WAZALENDO, Zitto Kabwe, katika maelezo yake amedai kwamba walifikia Makubaliano na Mbowe ili yeye achukue uenyekiti wa Chadema baada ya Mbowe, Amezungumza mengi , lakini...
9 Reactions
53 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
CHUKUA TAHADHARI KUBWA UNAPOJIINGIZA KWENYE KAHUSIANO NA WANAWAKE WAFUATAO. Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA 1. MWAMAMKE ALIYEKO KWENYE MSONGO WA MAWAZO Unapojiingiza katika mahusiano na...
1 Reactions
8 Replies
11 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,325
Posts
49,515,701
Members
667,071
Latest member
shedlib
Back
Top Bottom