Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefatiia habari za Siasa kwa kipindi che Mwezi Aprili Pekee nimeshuhudia mikutano mikunwa na maandamano ya hiari ya wannchi takribani Kanda Zote za Nchi na Mikoa mingi sana. Tunajua Chadema sio...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kiuhalisia Afrika (Tanzania) suala zima la maendeleo ndo basi tena, zitabaki hizihizi kelele za siku zote mara sijui katiba mpya, nchi achukue yule, mara uchawa, mara.....ndo baasi tena Lakini...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Mzuka Wanajamvi! 2019 nilitabiri humu humu jamvin Liverpool itaifunga Barcelona 4-3 nusu fainali mechi ya marudio UEFA champions league na kuchukua UEFA dhidi ya Tottenham fainali. Nilibezwa na...
6 Reactions
36 Replies
794 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
136K Replies
9M Views
Baada ya Mapumziko ya Jumapili, leo tena ile kazi ya Ukombozi wa Nchi inaendelea. Tundu Lissu anaongoza Maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi. Mkoa wa...
4 Reactions
15 Replies
142 Views
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
72 Reactions
404 Replies
8K Views
Hiki kipasso kinaenda km 12 kwa lita ya wese. Kutoka home hadi job ni km 12 yani km 24 kama ni kwenda na kurudi. kwaiyo nahitaji kama lita mbili hivi kila siku au shilingi 6,514 (3,257×2) kwa...
3 Reactions
16 Replies
268 Views
Visiwa vya Pemba na Unguja, vilivyoko Zanzibar, Tanzania, vina historia ya kijiolojia inayofurahisha. Jiolojia ya visiwa hivi inahusisha michakato mbalimbali ambayo imesababisha muundo na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wanabodi, Loe nchi yetu tumeadhimisha miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muungano wetu ni muungano adimu na muungano adhimu...
19 Reactions
54 Replies
727 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,436
Posts
49,519,343
Members
667,105
Latest member
nicolaus9991
Back
Top Bottom