Wachina, wakongo, wake ya, wanigeria na wazambia wamekuwa wengi sana soko la Kariakoo.
Wachina wanapoingia kwenye umachinga maana yake uchuuzi umekuwa kipaombele cha soko Tanzania . Lakini...
heyyyy
sawa wanasimba tumekubali benchika kwenda kumuuguza mkewe,
swali lilipo je wasaidizi wake pia wameenda kumuuguza shemeji yake??
tunachanganyikiwa shagala bagala
Niliwahi kutibiwa Seifee Hospital iliyoko mjini Dar es Salaam, inayopatikana ile njia kama unaenda Posta. Tangu nitibiwe pale wamekuwa wakinitumia matangazo ya madaktari wanaofika kwao. Hawa jamaa...
Habari zenu WanaJF mko poa kabisa,
Bila kuchelewa niende kwenye mada ya leo,
Niko Dodoma kibiashara nilichojione kinaleta raha Fulani hivi, aisee Dodoma kutamu jamani.
Nilianza na upande wa...
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.
Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.
Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
Wasalaam
CHAMA kipo madarakani zaidi ya miaka 60 lakini,
1. Barabara mbovu
2. Maji Safi na salama ni shida
3. Elimu mbovu
4. Afya duni
5. Lishe duni
6. Viongozi kuishi kwa anasa
7. Umasikini...
Wakuu maisha ni kushare love.
Nataka niwaambie vijana na watafutaji wengine ikiwemo hata watumishi wa umma wenye mishahara midogo midogo.
Hakuna sehem Tanzania hii panafaa Kwa mtu anayejitafuta...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.