Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Nimefatiia habari za Siasa kwa kipindi che Mwezi Aprili Pekee nimeshuhudia mikutano mikunwa na maandamano ya hiari ya wannchi takribani Kanda Zote za Nchi na Mikoa mingi sana. Tunajua Chadema sio...
1 Reactions
9 Replies
61 Views
Baada ya Mapumziko ya Jumapili, leo tena ile kazi ya Ukombozi wa Nchi inaendelea. Tundu Lissu anaongoza Maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi. Mkoa wa...
5 Reactions
19 Replies
229 Views
Watumishi wa Umma Huwa wapo wapo Hadi unajiuliza Hawa ni Wasomi walienda shule kuongeza maarifa au kukua na kupata cheti waje kutoa Huduma za hovyo? Huu ni aina nyingine ya ushahidi wa jinsi tuna...
2 Reactions
15 Replies
827 Views
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
74 Reactions
406 Replies
8K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
10M Views
Nimefurahishwa sana na majaribio ya treni ya umeme kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma. Kwa kweli imenifurahisha sana kwa muda uliotumika mpaka Dodoma. Pamoja na hayo ninaona changamoto zilizopo...
5 Reactions
14 Replies
377 Views
Hello everyone, I'm reaching out for advice and perspective on a challenging situation I've found myself in. My name is David, and for almost three years, I've been in a relationship with Sarah...
0 Reactions
18 Replies
121 Views
Wakuu habarini za asubuhi. Kama kijielezavyo kichwa cha habari hapo juu, hekima zenu zinahitajika kutoa ushauri juu ya jambo naloenda lielezea hapa chini. Mathalan una mchumba na umekwishamtolea...
1 Reactions
28 Replies
297 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,438
Posts
49,519,402
Members
667,105
Latest member
nicolaus9991
Back
Top Bottom