Isiishie tu kusema na kukemea bali Bunge letu halina budi kutunga sheria kali dhidi ya vitendo vya ushoga; vitendo vya ushoga, ndoa za jinsia moja na uhamasishaji wa vitendo vya ushoga.
Majirani...
Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hivi ni haki kulala na wazazi mama yake anangangana kuwa ni kawaida.
Ana chumba chake kizuri na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama.
Mnaonaje wakuu...
Mwandishi wa Habari, ERICK KABENDERA ameitaka Kampuni ya Simu ya VODACOM TANZANIA kumlipa USD 1,000,000 MILIONI ndani ya SIKU 14 kwa Kufanikisha kutekwa kwake mwaka 2019.
Amefanya hivyo kupitia...
Jf amani iwe nanyi.
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oct 2030, 77% ya wapigakura wote watakuwa ni Vijana wa 2000s`
Mrithi sahihi wa Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya CCM lazima awe ni mgombea...
Mfumo wa vyama vingi umeongeza Demokrasia na kupunguza Uzalendo
Kwa mfano Leo Chadema badala ya kusherehekea Miaka 60 ya Muungano wao Wanaandamana mikoani kupinga Kikokotoo
Uzalendo unatoweka...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko...
kuna habari kwamba yule miss TZ 2006, Wema Sepetu ameanza kuchanganyikiwa. Wiki iliyopita alimfanyia fujo mpenzi wake wa zamani ambaye ni msanii wa maigizo nchini Steven Kanumba na kuvunja vioo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.