Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register Mshiriki anaweza kutumia jina halisi au la kubuni ‘pseudonym’. Mshiriki atatakiwa kutaja...
9 Reactions
34 Replies
2K Views
Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Nimeshangazwa kuona Yanga sc inaingia na mkataba na kampuni inayofahamika kinondoni ilala na temeke tu na bidhaa zake inauzia palepale Daresalaam tu tena kuna baadhi ya maeneo ya Daresalaam...
3 Reactions
20 Replies
264 Views
Kenya iliorodheshwa katika nafasi ya nne katika nchi tajiri zaidi barani Afrika na siku 2 zilizopita Kenya imeorodheshwa miongoni mwa masoko makubwa matano tajiri barani Afrika yenye mamilionea na...
4 Reactions
34 Replies
935 Views
Natumaini wote mko poa ndg wana JF,, lakini poleni sana kwale wote wenye changamoto yoyote ya kiafya au maisha kwa ujumla poleni sana Mungu awasaidie mkae sawa 🙏 Ndg zangu nimeamua kuandika uzi...
9 Reactions
40 Replies
628 Views
Yuko wapi huyu mwamba alifanya jahazi kuwa kipindi kizuri sana ni muda sijapata kumsikia popote pale.. Je alikuwepo kwenye msiba wa G??
2 Reactions
10 Replies
594 Views
Mimi sio mchoyo nawasanua vijana. Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja . Mambo ya customer...
3 Reactions
43 Replies
844 Views
Habari JF, Kwa wenye uzoefu wa hili jambo naomba mnisaidie ni ishara ya nini? Siku tatu nyuma nilienda kijijini kwetu kusalimia,sasa kama mjuavyo ndugu kijijini huwa ni wengi na ukifika huko...
3 Reactions
59 Replies
1K Views
Wakuu, hivi mmegundua kila unapofika mwaka wa Uchaguzi wowote uwe wa Serikali za Mitaa au Uchaguzi Mkuu, ndio muda ambao miradi mingi huwa inadorora! Barabara zinakuwa mbovu kupita maelezo, huduma...
0 Reactions
3 Replies
46 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,239
Posts
49,512,792
Members
667,028
Latest member
Safisha99
Back
Top Bottom