Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo.
Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu...
Jf amani iwe nanyi.
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oct 2030, 77% ya wapigakura wote watakuwa ni Vijana wa 2000s`
Mrithi sahihi wa Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya CCM lazima awe ni mgombea...
Salaam, Shalom!!
Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
1. Hawa ndiyo wale vigogo wachache wa aina ya South Africa huko:
2. Kwamba Natenyahu ni kama yale mapanya road yale ya pande za kwetu tu?
3. Ana sifa gani, wapi, kiumbe huyu kwenye ulimwengu...
CHATANDA AONGOZA KIKAO KAZI
📍 Lumumba - Dar es Salaam
🗓️27 Aprili, 2024
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda(MCC) ameongoza kikao cha tathmini ya Mdahalo wa...
Kusema ule ukweli kabisa toka nimpe moyo dada mmoja akauvunja basi nahisi kabisa kuwa nimepata ulemavu wa kupenda tena.
Ni miaka mitatu sasa nimekosa hisia za kupenda na wala sioni dalili za...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Hili limekua tatizo kubwa sana kwa simu za kitochi 4G ukiitumia baada ya muda Fulani Kanaganda yaani ukiiwasha haiwaki inaishia hapo tu kwenye "karibu tigo".
Je, unaweza kutumia mbinu gani...
MCC MAMUYA AONGOZA KIKAO KAZI CHA KAMATI YA UCHUMI YA UWT TAIFA
📍 Lumumba - Dar es Salaam
🗓️27 Aprili, 2024
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchumi (UWT) Ndg. Halima Mamuya (MCC) ameongoza kikao cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.