Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
Kusema ule ukweli kabisa toka nimpe moyo dada mmoja akauvunja basi nahisi kabisa kuwa nimepata ulemavu wa kupenda tena.
Ni miaka mitatu sasa nimekosa hisia za kupenda na wala sioni dalili za...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kama kichwa cha mada hapo juu kinavyojieleza,kuna familia ambazo zimeaminishwa ili waweze kuendesha maisha nipale wanapokuwa katika ajira ,ama shirika au serikalini .Na familia hizi nyingi...
Nimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa, Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club, Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu, yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha...
Hey guys wa JamiiForums,
Kuna kasumba moja sasa hivi, mwanamke anakuwa na mwanaume wengi kutokana na tamaa binafsi walizonazo wanajikuta wanapata mimba za kushtukiza.
Kama mimba ni ya jamaa...
Kumekuwa na wimbi kubwa la wachezaji kutoka pande zote za bara la Afrika (kaskazini, Mashariki, Magharibi, Kati, Kusini) kuingia katika ligi yetu hasa vilabu mbalimbali hapa nchini.
Hivi hawa wa...
Amani ya Mungu iwe juu yenu
Najua hapa kuna waelewa wa mambo mengi katika biashara hivyo naomba kujua mambo yanayotakiwa ili kuanzisha ofisi ya betting.
Miongoni mwa mambo ninayotaka kujua ni...
Ndani ya Mwaka 2024, Zijue Fursa Zifuatazo zenye uwezo wa kukuingizia kuanzia 1,000,000 kwa mwezi na kuendelea kutokana na juhudi zako namaanisha hata 50,000,000 kwa mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.