Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wawili hao wamewekwa mahabusu kwa masaa zaidi ya 40 kwa kosa linalodaiwa kuwa Uchochezi na kuzua Taharuki . Walikamatwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya RPC Muliro ambaye ndiye mlalamikaji Mkuu ...
10 Reactions
59 Replies
936 Views
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye. Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
1 Reactions
43 Replies
726 Views
Zitto Kabwe amesema aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wakati anaingia kwenye siasa, Jakaya Kikwete alimuita na kumwambia ana machaguo mawili kwa kuwa alikuwa anachipukia kwenye siasa, kwanza...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Hakuna nchi duniani yenye uhuru usio na mipaka, hakuna na haipo, hata huyo fala wenu Mange Kimambi mnayemtuma amtukane na kumdhalilisha kiongozi wa nchi kuna siku ataingia kwenye 18 za watu atajua...
5 Reactions
25 Replies
700 Views
Nanukuu maneno yake: “Mimi ni mdada wa Miaka 24 na ninaishi na boyfriend wangu wa Miaka 28. Tuna mihemko mikubwa sana ya kingono na tunakutana kimwili mara kwa mara. Wote tunafanya kazi eneo Moja...
6 Reactions
89 Replies
4K Views
Nilileta uzi huu last month nikiwa kwenye lindi kubwa la mawazo baada ya kusex na mwanamke aliyeathirika...
11 Reactions
75 Replies
6K Views
Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo. Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu...
41 Reactions
129 Replies
3K Views
Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa - hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto[emoji3533] -...
10 Reactions
43 Replies
540 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,050
Posts
49,505,584
Members
666,949
Latest member
jackizooh
Back
Top Bottom