Natumaini wote mko poa ndg wana JF,, lakini poleni sana kwale wote wenye changamoto yoyote ya kiafya au maisha kwa ujumla poleni sana Mungu awasaidie mkae sawa 🙏
Ndg zangu nimeamua kuandika uzi...
Habari zenu wana JF.
Nahitaji badilisha rim za kwenye gari yangu,zilokuja from Japan na kuweka hizi alloy wheels or sport rims.Gari yangu ni porte na huwa nasafiri kwenda mkoa mara moja or mbili...
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
Katika MAISHA ya siasa unabidi kuelewa ubora wako unategemea na ubora wa mpinzani wako.
Unapomgeuza mpinzani kuwa adui unabidi kujua unaenda kujiua na kujiangamiza.
Adui -ni yule anayepambana...
" Mods Tunaomba Msiuondoe Huu Uzi. Ni 100% True. Unless mna ukweli tofauti na huu. Kama ni jukwaa huru basi msiondoe huu ukweli"
Dhana iliyozungumziwa kwa muda mrefu kwamba FREEMAN MBOWE...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Inaaminika kuwa ni ujanja kula Hela ya mtu na kukimbia na kutangaza kuwa sio taipu yangu, mshamba, kajipendekeza etc.
Spiritually ( kiroho) mtu akikupa kitu chake, ukapokea, tayari...
Tumeona ni vema kuweka matukio machache ya Mkutano huu uliofanyika Jana Mjini Singida , ambao ulihutubiwa na Tundu Lissu baada ya Maandamano Makubwa ya kupinga Ugumu wa Maisha na sheria mbovu za...
MTU AKICHAGUA KUWA ADUI, USIMFANYE KUWA RAFIKI
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
Katika maisha kuna watu wanatabia za chuki wanazaliwa nazo na wengine wanaziendekeza, unaweza kukuta mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.