Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu habari, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 sasa, niko chuo X. Naomba niende straight kwenye point wakuu maana nahitaji msaada wa haraka sana. Nimetokea kumpenda binti flani ambaye niko...
9 Reactions
165 Replies
1K Views
Wakati umefika Sasa wa Serikali Kufanya maamuzi magumu Kwa kushirikiana na DRC na kuanza Ujenzi wa Daraja litakalokatisha Kwenye Ziwa Tanganyika. Daraja Hilo kinaweza kujengwa kati ya Bandari ya...
13 Reactions
150 Replies
3K Views
Ulizingatia umri wako na wake, nidhamu, heshima na utii, uaminifu, upendo, hekima, busara, fedha, mali, kazi yake, hali na maisha ya familia yake au cheo chake... Au ulizingatia siha na tabia...
5 Reactions
38 Replies
443 Views
Habari wakuu... Hivi hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original... Mfano kuna jamaa anauza creed aventus mils 100 kwa 55k... Kuna aliyewahi tumia? Ubora upoje?
2 Reactions
125 Replies
3K Views
Wewe ni tajiri au masikini?? Tuwekee picha tuone maana mmezidi kujitapa nyie matajri
0 Reactions
3 Replies
18 Views
Natumaini wote mko poa ndg wana JF,, lakini poleni sana kwale wote wenye changamoto yoyote ya kiafya au maisha kwa ujumla poleni sana Mungu awasaidie mkae sawa 🙏 Ndg zangu nimeamua kuandika uzi...
3 Reactions
24 Replies
317 Views
Serikali ya Tanzania imetoa Jumla ya shilling billion 66 Ili kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua Fedha hizo zimegawanywa Kwenye mikoa Yote iliyoathirika --- Serikali ya Jamhuri ya...
5 Reactions
58 Replies
1K Views
Moja ya kazi ya vyombo vya habari ni kutafuta habari, kuchambua habari na kutoa habari. sio habari za akina Boni ya kukamatwa ambazo zinagazaa katka acoount za Twitter ni habari zile ambazo...
0 Reactions
4 Replies
52 Views
Salaam, Shalom!! Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli. Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO, 1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI...
32 Reactions
444 Replies
16K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,193
Posts
49,511,173
Members
667,003
Latest member
JustinDrude
Back
Top Bottom