Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wana Jf wenzangu Nimeokota mahala sasa sijui ni nini wanaojua msaada tujuzane
7 Reactions
35 Replies
480 Views
Binadamu tumeumbwa kusahau. Ngoja niwakumbushe mambo mawili matatu ambayo yaliibadilisha Simba kutoka katika mkwamo iliokuwa nao. 1. Tunasahau Simba ilikuwa inacheza hadi dakika ya 60 inakata...
4 Reactions
8 Replies
326 Views
Mimi sio mchoyo nawasanua vijana. Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja . Mambo ya customer...
5 Reactions
50 Replies
1K Views
Unapofanya tendo la ndoa na Mtu yeyote, unajenga muunganiko wa kiroho na kimihemko, na huyo mtu. Ni jambo gumu sana kumsahau mtu ambaye mlikuwa na uhusiano wa namna hiyo, hamjaachana Kwa vita au...
9 Reactions
29 Replies
331 Views
Maandamano yanayoambukizika ya vyuo vikuu maarufu nchini Marekani yameanza kuihofisha serikali kuu ya nchi hiyo. Nguvu zimetumika kuwatawanya wanafunzi wa chuo kikuu cha Columbia baada ya spika...
4 Reactions
67 Replies
2K Views
Wakuu habari za weekend Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye...
8 Reactions
130 Replies
1K Views
Ng'ombe tayari wamenunuliwa wake Mecco nyumbani kwa Khalid Bitebo wakichungwa mara ya mwishomwisho. Kesho asbh na mapema watu wanaanza na supu then dude lenyewe mida ya mchana. Kiingilio ni uzi...
1 Reactions
15 Replies
240 Views
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
20 Reactions
222 Replies
5K Views
Watanzania acheni uzishi. Acheni kunisingizia kama mi ndio nilikuwa nauza madafu Ikulu. Uzushi haupendezi, nimeona nije niwapashe ukweli nyie wazushi wa JF. Mkome kunipakazia.
1 Reactions
11 Replies
12 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,297
Posts
49,514,476
Members
667,059
Latest member
latifeh6243
Back
Top Bottom