Salaam wadau.
Naomba kujuzwa na yeyote kuhusiana na hizi Chipset za MediaTek, haswa ubora wake na kwa nini bidhaa zilizo na Chipset hii zinadharaulika, je ni kweli MediaTek ni hovyo au ni maoni...
Nahisi kama Kocha ndio tatizo, huwa hana plan japo ana players.
Imepigwa ndani nje
Mechi 3 no goal huku timu inawachezaji wa bilioni 10
Kocha afukuzwe na kina Zwane Shilule hawana impact ni...
Huu ni mkasa unaoenda mwanzo mpaka mwisho wake. Enjoy.
.
.
.
Leon ana talanta ya kupiga picha lakini bado haijamlipa kama vile yeye anavyotamani.
Anaamini anastahili kupata zaidi na zaidi na...
Za jion wana jamii,
Naimani mko powa wote
Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo...
Mzuka, mashamsham na tamaa vyote viliyeyuka, baada ya kuona makalio yanaondolewa na kitundikwa juu kama inavyoonekana hapa chini.
Nimejiuliza maswali mengi sana. Hivi ananionaje huyu dada mpk...
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye.
Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
Tangazo
La muungano lilifanyika usiku wa manane na hakuna mwananchi alishirikishwa na tunachoomba ipitishwe kura ya maoni pande zote nchi ya Tanganyika na Nchi ya Zanzibar wananchi tupige kura ya...
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.