Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia. Hali ni ya kutisha...
4 Reactions
57 Replies
1K Views
Wakuu, nitajuaje kama simu ninayotaka kununua ni ya mkopo? Yaani hizi za hawa wanaouza kwa mkopo?
2 Reactions
12 Replies
142 Views
Jana usiku katika kusherehekea mambo ya muungano, ikabidi nitoke na bebi wangu tukaenda kiwanja kimoja; tukawa tunapiga maji yetu machungu kama kawaida yetu. Kutokana na mazingira kuwa na 'vibe'...
0 Reactions
27 Replies
216 Views
1. Hakuna Msaniii yoyote mkubwa wa Congo DR kuanzia kwa JB Mpiana, Koffi Olomide, Werrason, Felix Wazekwa, Roga Roga na Bendi yake ya Extra Musica, Fally Ipupa na Ferre Gola utamuita aje nchini...
8 Reactions
19 Replies
454 Views
Anasema kocha wa BAYERN MUNICH, Thomas Tuchel "Nmeiangalia Real. Madrid na wachambuz wangu. Ukiyachunguza sana magoli Yao au nafasi zao, na ukarejesha sekunde 10 nyuma, Huwezi kuona Kama wanakuja...
3 Reactions
15 Replies
197 Views
Ni sehemu ndogo sana ya wapenzi wanaoishi mbalimbali ambao hudumu kwenye uhusiano wao kwa muda mrefu. Hiki kinaonekana kuwa ni kitendawili kigumu sana kwa wapenzi wengi kuvumiliana kwenye...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
  • Sticky
Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
124 Reactions
143K Replies
7M Views
Mbarali kunafuka Moshi tu kwasasa. Yaani moto hauwaki Wala kuzima Mwezi Oktoba mwishoni Serikali ilitangaza maeneo yatakayopisha hifadhi. Wakati tangazo likitolewa tayari baadhi ya maeneo...
2 Reactions
7 Replies
425 Views
Wajuvi nielewesheni.
0 Reactions
4 Replies
10 Views
Mwenyekiti Mbowe anasema Maridhiano ndio yataleta majawabu ya nchi kufunguka kisiasa ikiwemo kurejeshwa Mikutano ya siasa Lisu anasema akirudi nchini moja kwa moja anaanza Mikutano ya hadhara...
5 Reactions
10 Replies
734 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,037
Posts
49,504,679
Members
666,926
Latest member
Maxnnko
Back
Top Bottom