Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Askari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na...
100 Reactions
363 Replies
19K Views
Nimekuta na si mara moja, mwanamume anamchapa mtoto wake kuwa hataki kwenda "chuo"! /Madarasa. Nikamsihi asimchape mtoto (about4-6 yrs) hivyo. Akasema chuo ni lazima, kwingine wala sitamchapa...
0 Reactions
5 Replies
16 Views
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith. Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno...
103 Reactions
295 Replies
9K Views
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
48 Reactions
154 Replies
4K Views
Isiishie tu kusema na kukemea bali Bunge letu halina budi kutunga sheria kali dhidi ya vitendo vya ushoga; vitendo vya ushoga, ndoa za jinsia moja na uhamasishaji wa vitendo vya ushoga. Majirani...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Happy union day everyone! Leo nimewaza hiki kitu nikaona si vibaya kushare kinaweza kumsaidia mtu mahali. Hivi ulishajiuliza incase umepata emergency yoyote mahali, ikatokea hujielewi, watu...
4 Reactions
14 Replies
210 Views
Yaani kama kuna Siku ambayo GENTAMYCINE nitajikita Kusoma sana tu Comments zenu basi ni katika huu Uzi wa leo.
3 Reactions
39 Replies
332 Views
Wamama wa miaka ya 90 kurudi nyuma walikuwa vyuma kwelikweli. Walikuwa na uwezo wa kukichapa na kukunyoosha kwa macho tu. Nakumbuka siku nilipotoroka nyumbani kwenda na magenge ya watoto mitaani...
6 Reactions
19 Replies
215 Views
Siku hizi wanawake wanavyoonekana makazini sivyo walivyo majumbani kwao. Ukimshitukiza mwanamke nyumbani kwake anaweza kagoma kutoka nje kwa kuwa anakuwa kwenye muonekano halisi ambao...
0 Reactions
6 Replies
44 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,209
Posts
49,511,791
Members
667,002
Latest member
JustinDrude
Back
Top Bottom