Kuna kiwanda kiko Pale Keko karibu na ukumbi wa DDC nadhani ni cha cello. Malipo kwa siku ni sh. 3500 kwa siku ilikuwa kwa muda mrefu. Sasa ni sh. 4000, kazi masaa 12 yaani lisaa limoja sh. Mia...
Anasema Mjumbe wa zamani wa Baraza la Mawaziri Dr Kigwangala " Ila kama Soja ndiye muuza Madafu binafsi nimependa sana umakini wa Vyombo"
Kigwangala ameongea ukurasani X
Sabato Njema 😂😂😂
Dr. Anthony Fauci alikuwa ni Mkurugenzi wa taasisi ya kitaifa ya Marekani ya magonjwa ya mzio na kuambukiza(NIAID) kwa takribani miaka 20 na jina kubwa katika masuala ya Afya Marekani kama alivyo...
Unakutana na kijana ana mwaka wa 4 anafanya saidia fundi
Unakaa unamshangaa , ina maana anafanya hii kazi pasipo malengo yoyote,
Kuna mawili , uachane na hiyo kazi au uwe tayali umejifunza...
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
Mimi hata ukinipa million 5 sasa hivi siwezi kujibania lazima ipigwe kiberiti kazi ya Hela sio kuwekwa chumbani au kuhifadhiwa.. Unajenga nini lijumba kubwa wakati una mwili mdogo we huoni wazungu...
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo...
Hello mambers,
Naomba sana msaada wenu, niliomba kazi kwenye shirika moja la wa Norway, juzi nikatumiwa email kuwa nimekuwa shortlisted hivyo nitafanya interview via zoom.
Naomba kuuliza maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.