Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno.
Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma...
Wabongo wengi ni mbumbumbu sana na Bahati mbaya hadi mkuu wetu anaingizwa mkenge sana kwenye huu ujinga wa Watanzania wengine.
Swala la kuchoma Vifaranga/Ndege/wanyama/mimea inayo ingizwa nchini...
Kwa wote wenye kupenda kutalii na kufurahia Uzuri wa asili na kujengwa katika mandhari ya Miji na Majiji...msiende mbali, msiumize kichwa kwani "Dar es Salaam" imesheeni sehemu lukuki ambazo...
Kwa kauli mzee Makamba aliyoitoa tena tena mbele ya mkutano mkuu kuwa watu wazuri hawafi, inafikirisha na kuhuzunisha.
Ukitizama umri na busara alizotegemewa kuwa nazo mzee huyu bado tunashindwa...
Nimemsikiliza sana Godbless Lema
Nimemsikiliza sana Mrisho Gambo
Nimemsikiliza sana Ole sabaya
Pia nimemsikiliza Albert Chalamila
Kuna kila dalili Watanzania wameanza kuamka
Maneno mazito ya...
Wito wa Waziri wa Fedha, juu ya Wazazi kuwasaidia watoto wao kujiajiri uko sawa! Anaebisha aseme!
Yupo Sahihi kabisaa maana ukiangalia hawa wazazi ni mfano wa kuigwa kwake....
1. Samia amemsaidia...
Kama mnavyojua tupo kwenye msimu wa mvua kubwa zinazonyesha ukanda wote wa Africa.
Lakini mvua hizi zimekutana na tamasha kubwa la kihistoria ambalo atatumbuiza msanii namba moja Africa yani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.