Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye. Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
10 Reactions
174 Replies
2K Views
Wakuu habari, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 sasa, niko chuo X. Naomba niende straight kwenye point wakuu maana nahitaji msaada wa haraka sana. Nimetokea kumpenda binti flani ambaye niko...
1 Reactions
50 Replies
299 Views
Vijana wa mjini Arusha wajulikanao kama Wadudu wamemuhakikishia mkuu wa mkoa huo mh Paul Makonda kwamba Wataujaza uwanja Siku ya Mei Mosi na Wanahamasisha Wana Arusha wote wawepo Uwanjani Makonda...
0 Reactions
5 Replies
80 Views
Hbr za mchana wana jukwaa wenzangu??.Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vizuri.Km kichwa kinavyojieleza naomba nitiririke km ifuatavyo; 1. UCHAFU: Hapa nazungumzia uchafu wa kuanzia yeye...
27 Reactions
159 Replies
10K Views
Hii chuma ni moto wa kuotea mbali. 1. Powerful, 2. High ground clearance, 3. 7-seater, 4. Reliable.
1 Reactions
2 Replies
242 Views
Kama kawaida yetu wanaume! Kuna muda nilisema nimestaafu lakin mmm hakuna kustaafu Unakutana Na mtoto hadi unachanganyikiwa , Mwezi wa 2 nikiwa hapa jijini changi nikapita Hotel inaitwa Indulge...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
1. Ni Joe Biden Marekani, au Bibi Israel? Kumbe wapi kuna kalika? 2. Kwamba wao ni kama kwetu na Muroto hawa ndugu wakimnyooshea vidole jiwe, dhidi ya migomo na maandamano; kumbe na wao, ni...
2 Reactions
12 Replies
188 Views
Hilo limethibitishwa nchini Ukraini katika uwanja wa vita ambapo vifaru maarufu vilijulikanavyo kama Leopard (kutoka Ujerumani), Challenger (kutoka Uingereza), pamoja na Abraham's (kutoka...
1 Reactions
5 Replies
136 Views
Hii vita ni kali sana na ilianza tangu wakati wa Nyerere alipotaifisha majumba ya watu wa asili ya watu fulani..Ikaendelea wakati wa Mkapa alipochoma ngano za mfanyabiashara fualani bila vigezo...
11 Reactions
62 Replies
1K Views
Nimeolewa miaka kumi iliyopita na nina watoto watatu. Tatizo nikiumwa huyu mume wangu hajali, yaani hata kukuulza unaendeleaje akuulizi, mwaka jana nilijifungua kwa operationi alikaa wiki moja...
1 Reactions
61 Replies
7K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,139
Posts
49,509,451
Members
666,983
Latest member
nyamwitanga
Back
Top Bottom