Ndugu zangu watanzania,
Mwamba Paul Christian Makonda ndio maana anapendwa sana na wananchi wanyonge na wa hali ya chini wenye maisha ya kawaida na ya kutafuta mkate na chakula kila siku pale jua...
Shikamooni wakubwa,
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 22 nipo chuo mwaka wa pili. Kwenye darasa ninalosoma yupo msichana ambaye mmoja nampenda sana na ni rafiki yangu sana ila shida inapokuja...
Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo.
Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu...
Mama wanastahili sifa nyingi kwa jukumu kubwa wanalocheza katika familia kwa ujumla. Wana nguvu, uvumilivu, na upendo usio na kifani.
Ni muhimu sana kutambua na kuthamini kazi kubwa wanayofanya...
Wawili hao wamewekwa mahabusu kwa masaa zaidi ya 40 kwa kosa linalodaiwa kuwa Uchochezi na kuzua Taharuki .
Walikamatwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya RPC Muliro ambaye ndiye mlalamikaji Mkuu ...
Kwanza nachukua nafasi hii kuwapongeza wote mliosherehekea miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Mimi sikusherehekea)
Bali Swali langu ni hili, hivi Sherehe za Muungano zina...
Leo kwenye harakati zangu za maisha nilipita maeneo ya KILUVYA, Kwa nilivyokua nadhani KILUVYA ipo wilaya ya ubungo, baada ya kubishana na jamaa yangu kua KILUVYA sio dar nikaenda kwenye ramani...
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.