Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Russia leo imefungua maenesho rasmi ya silaha na zana za kivita wanazoteka huko Ukraine kutoka nchi za magharibi.
Hii lwa upande wangu dharau kubwa sana na kwa jicho la mbali hii vita hata wampe...
Breaking: Benchika ameachana rasmi na Simba SC baada ya makubaliano ya pande zote mbili.
Pia soma: Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu
----...
Kati ya nchi za Maziwa makuu ni rwanda pekee ndo ineruhusu Ushoga??
Je umewasaidia chochote kwene maendeleeo ??
Nani aliwashawishi kuingia kwene huu mtego
" Mods Mnakosea sana. Hamtendei watanzania haki. Tunaomba Msiuondoe Huu Uzi. Ni 100% True. Unless mna ukweli tofauti na huu. Kama ni jukwaa huru basi msiondoe huu ukweli"
Dhana iliyozungumziwa...
KISWAHILI ni wazugaji na wafichua habari
Ni watu maalum lakini wa kila jinsia umri na kaliba... Kati yao wapo mpaka wezi matapeli, wakabaji na wachawi.. Lakini kila walipo wapo kwa lengo...
SALUTE
Maisha ni safari ndefu yenye mabonde na mashimo tu Yenye matumaini tu huku raha zikiwa chache mateso na taabu yamejaa! Kuna mambo yanaweza au yanatokea kwenye maisha yako hadi ukabaki...
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi.
Mitungi jamani mitungi jamani...
Kiongozi Mkuu wa ACT WAZALENDO, Zitto Kabwe, katika maelezo yake amedai kwamba walifikia Makubaliano na Mbowe ili yeye achukue uenyekiti wa Chadema baada ya Mbowe, Amezungumza mengi , lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.