Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
81 Reactions
557 Replies
13K Views
Habari wakuu Hivi mbona msanii chid benz haponi kile kidonda chake cha mguuni maana tangu ameanza kuumwa kile kidonda sasa yawezafika mwezi wa nne au watano, nini tatizo? Maana Jana kapanda...
0 Reactions
3 Replies
55 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
1. Hakuna Msaniii yoyote mkubwa wa Congo DR kuanzia kwa JB Mpiana, Koffi Olomide, Werrason, Felix Wazekwa, Roga Roga na Bendi yake ya Extra Musica, Fally Ipupa na Ferre Gola utamuita aje nchini...
1 Reactions
2 Replies
48 Views
Kumekuwa na kesi nyingi za akinamama na wanawake kwa ujumla za kuumwa mara kwa mara UTI na magonjwa mengine ya zinaa na kibaya zaidi magonjwa hayo kujirudia hata baada ya kupata matibabu. Nipo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo, Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu...
23 Reactions
89 Replies
2K Views
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo...
37 Reactions
370 Replies
16K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema miaka 60 ya Muungano Wenye KERO lukuki Inatosha Lisu anasema SASA ni Wakati SAHIHI kwa Zanzibar kuwa na Mamlaka yake kamili Ndani ya...
0 Reactions
8 Replies
75 Views
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
0 Reactions
2 Replies
10 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,953
Posts
49,501,594
Members
666,900
Latest member
Unyade wade
Back
Top Bottom