Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko...
Salaam, Shalom!!
Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6...
Wengine tukiitumia hii katika Kuwabandueni huwa tunakuwa Comfortable nayo kwani kuna wengine kwa Misura yenu ilivyo Mibaya na Macho ya Kutisha yenye Mkorogo uliokomaa Usoni tukitumia ile ya...
Katika mambo ambayo yamekuwa yakieleweka vibaya, kukanganya na pia kuzua dhihaka kutoka kwa watu wasioipenda Israel ni pamoja na hili la kupewa misaada wa jeshi/ silaha na Marekani pamoja na kuwa...
Ndugu wanasheria, rafiki yangu anaomba msaada wa kisheria ili apate haki yake.
Alichukua mkopo bank na kuweka gari yake kama dhamana, ila kwa bahati mbaya akachelewesha marejesho mpaka dhamana...
Hii ni hint itayoelewaka kwa wenye akili na wafuatilaji wazuri wa siasa za Bongo.
Ni mtazamo wangu kuwa,baada ya Bashite kuongea alichoongea, kulikuwa na reaction ya walioguswa lengo wasionekane...
Happy union day everyone!
Leo nimewaza hiki kitu nikaona si vibaya kushare kinaweza kumsaidia mtu mahali.
Hivi ulishajiuliza incase umepata emergency yoyote mahali, ikatokea hujielewi, watu...
Kichwa cha uzi cha husika, Kwanza nawasalimu wote katika jina la mwokozi ambaye ni Mungu wa kweli muumba mbingu na nchi.
Niende direct, miongoni mwa watu walio hustle kitaa baada ya kuhitimu chuo...
Habari ndugu naombeni msaada wa kufunga King'amuzi cha canal plus. Niko Tanzania. Naombeni taratibu za kukinunua yaani nakinunulia wapi, bei, mafundi na utaratibu wa malipo na Chanel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.