Ingekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona.
Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili...
Wazazi wenzangu tupambane tuwaachie watoto wetu chochote kitu, elimu na malezi ni haki ya mtoto. Mimi Namshukuru mungu kwa hiki kidogo basi anachochakuanzia kwenye maisha yake.
Tusiwe na...
Unakutana na kijana ana mwaka wa 4 anafanya saidia fundi
Unakaa unamshangaa , ina maana anafanya hii kazi pasipo malengo yoyote,
Kuna mawili , uachane na hiyo kazi au uwe tayali umejifunza...
Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno.
Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma...
Elimu ya chuo kikuu ni elimu Mhimu hasa huhitaji material mbalimbali za kujifunzia hasa Slides lakini pia articles.
Je u awezaje Kupata Learning Slides for University Learning
Visit Dyampaye For...
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maandamano ya Amani yanayoratibiwa na Chadema kwa ajili ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi , yameingia Mkoani Mwanza , leo ni zamu ya...
Guys ninaomba ushauri,
Nina mwanamke wangu nilikuwanaye kwenye mahusiano tangu nipo nasoma mpaka namaliza lakini ilinichukua kama mwaka na nusu bila kupata kazi.
Wakati huo yeye alikuwa na kazi...
Habari wakuu,
Ninaishi na mke wa ndoa na tuna watoto ila mke wangu sijui niseme ni uvivu au kukosa hamu ya tendo.
Kila mara mimi ndio huhitaji kufanya tendo na mara nyingi hunipa kuniridhisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.