Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu sijawahi kukutana na mtu mkorofi mtata na mwenye visasi kiasi hiki. Biashara imekuwa ngumu sana mpaka nawaza kuifunga tu asije akanipeleka jela bure maana amepania kupeleka jela...
5 Reactions
27 Replies
656 Views
Khabarini wana jukwaa. Mwaka 2021 nilikutana na dada mmoja mzuri sana, mrembo, mwenye kuvutia na mpole sana ambaye mwanaume yeyote mwenye akili timamu lazima tu angempenda. Basi nikafanya...
27 Reactions
416 Replies
13K Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
69K Views
Inawezekana kuna mtu akawa na changamoto kama yangu hii hapa. Unajitahidi kutokuwa na mchumba na unajilinda kutokufanya uasherati lakin muda mwingi nakuwa Natumia kufikiria matendo ambayo si...
2 Reactions
18 Replies
239 Views
Katika dunia ya sasa, tunaona shetani akitumia wasanii mbalimbali kuharibu kizazi hiki. Tumeona wasanii wa bongo fleva watu wote waliojiunga na freemasonry, wakija na project mbali mbali za...
9 Reactions
37 Replies
878 Views
Wakuu bado hatujafika tunapotaka ila kiukweli kuna hatua tumepiga kwa miaka hii. Haya ni mambo ambayo yalikuwepo ndani tu ya miaka isìyozidi 30. 1. Shule za sekondari zilikuwa chache mno kiasi...
0 Reactions
2 Replies
49 Views
Just imagine milioni 700+ afu unapakia abiria 50 kwa elfu 50 Dar Kahama, unalipa wafanyakazi, engine kubwa inanyonya mafuta kama walevi wa KASKAZINI. Bado ukodi ofisi, trafiki, Latra etc...
11 Reactions
75 Replies
4K Views
Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu. Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo...
7 Reactions
28 Replies
467 Views
Watanzania wamezungumzia ubaya wa katiba yetu tangu siku nyingi. 1. Mwalimu Nyerere alikiri kuwa katiba yetu ni mbaya. 2. Bunge la mwaka 1993 lililopitisha maamuzi ya kuundwa kwa Setikali ya...
0 Reactions
2 Replies
136 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,036
Posts
49,593,504
Back
Top Bottom