Ewe kijana kama upo tu nyumbani huna ramani unashinda umelala siku nzima unaona kazi siku hizi hamna, basi haraka sana tafuta mwanamke uoe.
Nakuhakikishia utapata kazi haraka sana na utaacha...
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
Tafsiri ya kitabu The Autobiography of Malcom X. Unaweza kukisoma ndani ya Maktaba app.
Muandishi: Malcom X(Alex Haley), 1965.
Mtafsiri: Pictus Publishers ltd
Email...
Nimepita mtandaoni huko nimekuta hili shirika limeweka tangazo kwamba kutakuwa na maboresho leo usiku kuanzia saa 6 mpaka tarehe 28.
Maboresho hayo yatahusisha T-PESA, data(mliofunga faiba...
Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari.
Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo...
Maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa...
Inaweza kukushangaza ila ndio ukweli, huo
December 14 mwaka 1999 uli tokea mlipuko mkubwa sana wa bomu la nyuklia,, mlipuko ulio angamiza zaidi ya 98% ya watu wote duniani, na hao 2% walio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.