Kutokana na hali ya uchumi kuwa mgumu vijana wengi wameangukia kwenye unywaji wa pombe za bei rahisi zinazo lewesha haraka kama sungura,master, jogoo nk ukiwa mtumiaji wa hizi pombe huwezi...
Kwanza nianze kwa kuwapa maua yenu Jamiicheck, binafsi nawakubali sana kazi yenu. Big up sana sana.
Twende kwenye mada.
Naona kuna Picha za wachezaji wa kike wakiwa wanaweka mpira ndani ya jezi...
Ewe kijana kama upo tu nyumbani huna ramani unashinda umelala siku nzima unaona kazi siku hizi hamna, basi haraka sana tafuta mwanamke uoe.
Nakuhakikishia utapata kazi haraka sana na utaacha...
Salamu Wakuu,
Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini
Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa...
Kwa hali ya kisiasa ilivyo hivi sasa nchini, ni dhahiri mgombea urais wa chama Tawala yuko bayana na anafahamika kwa wanainchi na waTanzania wote kwa ujumla, ni suala la muda tu waamue...
Wakati HAMAS wanaivamia Israel October 7 na kuua kikatili Waisrael zaidi ya 1200 na wengine kuwachukua mateka, walijua wazi kuwa Israel wangelipa kisasi kikatili pia,na walijua kabisa kuwa maelfu...
Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza anayesoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye jina lake halijawekwa wazi inadaiwa ametaka kufanya jaribio la kujiua akiwa chuoni hapo chanzo kikitajwa ni masuala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.