1. Gaza ni kaeneo kadogo ka size ya kinondoni, ilala au temeke huko; kigamboni, bagamoyo, Pemba au Mafia ni kukubwa mno kuliko Gaza.
2. Vi kinondoni, ilala, au temeke huko ni vi mikoa vya...
Hii game imesimamishwa kwa sababu ya Radi.
Weather conditions cause a suspension of play.
The referee brings play to a halt and signals for both teams to head to the changeroom with the...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Nchi ya Namibia imetangaza kugundua kiasi kikubwa Cha Mafuta katika Pwani ya Nchi hiyo.
Kwa mujibu wa kampuni ya Utafiti ya Kutoka Ureno ya Galp Energia inasema awamu ya kwanza ya matokeo...
Huyo mzungu ndiyo Dorotia mwenyewe, Kama uliwahi kusikia Ngoma ya Dorotia toka Kwa Jose Chameleon.Alikua Mpenzi wa Jose na walizaa mtoto mmoja aitwaye Ayla Mayanja
Dr. Jose Chameleon aliivuruga...
Jeshi la Polisi limewakamata Watu Wawili waliomdhalilisha Waziri wa zamani wa Miundombinu Dr Shukuru Kawambwa
Aidha Jeshi la Polisi limemtaka mtu aliyerekodi tukio la udhalilishaji huo na...
Habari zenu wakuu
Naomba kupewa ABC kuhusu hii kitu nimekuwa nikifatilia since wayback lakini sijaanza kushiriki mana sijui natakiwa niwe na kitu gani haswa chamsingi
Nawasilisha
Mwaka 1991 wakati USSR inavunjika mataifa kadhaa yaliyokuwa yanaunda umoja huo yalikuwa yanamiliki silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu. Ukraine lilikuwa ni taifa mojawapo lililokuwa...
Burj Khalifa, mnara mrefu zaidi duniani, unajulikana kwa urefu wake wa mita 828 na idadi ya sakafu 163. Kwa kuwa ni mnara wa maendeleo mchanganyiko, unajumuisha makazi, hoteli, biashara, ofisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.