Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu, Nyumba thamani yake ni milion 12, vyumba vitatu na kimoja cha nje. Imefanyiwa wiring bado umeme lakini vyote umeme na maji vyote vipo jiran tu nyumba ya pili ni kuvuta tu. Gari nalotaka...
7 Reactions
99 Replies
1K Views
Shehe Issa Ponda ametoa taarifa ya Hukumu kwa Mashehe iliyotolewa na mahakama jijini DSM Ponda amesema shehe Said Bakari na Shehe Abubakar Paul wamehukumiwa kunyongwa Shehe Musa Hassan, Hussein...
1 Reactions
9 Replies
248 Views
Ni aje wakuu, hii ni post yangu ya kwanza kabisa, ndio kwanza nimeingia hapa. Like yako hapa ni ukaribisho rasmi kwangu. Ahsante
7 Reactions
20 Replies
92 Views
Kwa utendaji huu uliotukukuka wa Rais Samia huenda 2026 bunge litakosa Wapinzani labda wapewe upendeleo maalumu Wadau hamjamboni nyote Huo ndiyo ukweli na lazima usemwe kuwa Rais Samia amefanya...
1 Reactions
21 Replies
297 Views
Akili kubwa ametumia mtumishi wa Mungu,kwenye Ili la kikokotoo
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ameandika Tundu Lissu kwenye Mtandao wa X Serikali ya SSH leo imevunja makazi ya Wamasai wa Sanya Station, karibu & airport ya KIA. Lengo ni kukabidhi eneo lao kwa kampuni ya Oman Airports ya...
21 Reactions
149 Replies
4K Views
Salaam,shalom, Mvua kubwa zilizonyesha nchini zimeanza kuleta madhara makubwa Kwa nyumba na makazi ya watu waishio kandokando mwa ziwa Hilo. Imeripotiwa kuwa, kaya zaidi ya 400 hazina makazi...
2 Reactions
7 Replies
135 Views
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana. Tundu Lissu alimkimbia...
1 Reactions
9 Replies
181 Views
Tuliozaliwa 1978- 1985 tunarange kuanzia miaka 39-46, tumegoma kuzeeka, sijui kama mnafahamu sababu. Iko hivi, kipindi hicho nchi ilipitia changamoto za kiuchumi, tulikuwa na vita ya iddi Amin...
5 Reactions
12 Replies
119 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,209
Posts
49,597,158
Back
Top Bottom