Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
matumaini na matarajio ya suluhu ya changamoto na matatizo binafsi na ya jumla kwa watu wa Arusha yameamshwa upya na kwakweli ni makubwa mno.... Leo watu wa Arusha wamepata ahueni ya mwanzo...
4 Reactions
11 Replies
156 Views
Iko hivi nina marafiki wa kila aina tofauti tofauti, walevi na wasio walevi..mimi binafsi ni mywaji mzuri tu ila sio wa kubebwa. Sasa siku kadhaa za nyuma hapo nilipata kachangamoto flani ka...
6 Reactions
12 Replies
37 Views
Habari zenu wana jamvi! Leo niko hapa ndugu zangu kwa ajili ya kuomba wenu ushauri ya kipi nifanye ili kuweza kukaa vyema kiuchumi. Kisa changu kinaanzia hapa; Tangu nilipoacha masomo yangu ya...
0 Reactions
5 Replies
73 Views
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake...
26 Reactions
128 Replies
2K Views
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao...
21 Reactions
606 Replies
58K Views
Hii mitindo ya wasanii kujifanya wana pesa sana, halafu wakiugua wanapitisha mabakuli ya michango, inakera sana.
3 Reactions
21 Replies
820 Views
Jana nilkuwa nimekaa na wazee wangu wawili wa Chadema ambao ni watu muhimu kwenye baraza la wazee. Baada ya kubadilishana nao mawazo walionekana kubariki kijiti cha uenyekiti wa chama kupewa...
2 Reactions
3 Replies
4 Views
Mambo ya kubishana chuo gani kimeiva, chuo gani kinatoa wanafunzi cream, n.k. huwa yanaishia vyuoni. Baada ya kumaliza chuo, je chuo ulichosoma kinakuboost upewe kipaumbele kwenye ajira ? chuo...
2 Reactions
18 Replies
214 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,290
Posts
49,599,104
Back
Top Bottom